KYLIAN MBAPPE AGOMBEWA NA PSG, MANCHESTER UNITED

MSHAMBULIAJI kinda wa Kifaransa, Kylian Mbappe mwenye miaka 18, anaweza kuishangaza dunia kwa kuwa mmoja wa chipukizi anayegombewa.

Kinda huyo anayekipiga Monaco ya Ufaransa alianza kutamaniwa na PSG, lakini juzi Manchester United wakamtaja katika orodha ya nyota wanaowafukuzia.

No comments