LEEDS UNITED YAHAHA KUMZUIA KOCHA WAKE ANAYEWINDWA NA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA UINGEREZA

KLABU ya Leeds United inapambana kumzuia kocha wake Garry Monk anayehitajiwa na timu nyingine kadhaa za daraja la kwanza nchini Uingereza “Championship.”


Mkataba wa kocha huyo aliyeiwezesha kufufua matumaini, unamalizika mwishoni mwa msimu huu na tayari timu za Norwich, Derby na Nottingham Forest zimeshatuma mawakala kuteta nae.

No comments