LINGARD HALI TETE MANCHESTER UNITED, MKATABA WAELEKEA UKINGONI MOURINHO APIGA KIMYA

MCHEZAJI Jesse Lingard wa Manchester United ameanza mazungumzo ya awali na klabu yake hiyo juu ya kuongeza mkataba wake.


Mkataba wa Lingard unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu, huku Mourinho akionekana kukaa kimya hadi sasa.

No comments