LIVERPOOL, MAN CITY ZACHUANA KUSAKA SAINI YA MCHEZAJI WA SOUTHAMPTON

KLABU za Liverpool na Manchester City zipo katika mbio moja ya kuwania kumsajili mchezaji Virgil van Dijk mwenye umri wa miaka 25, kutoka timu ya Southampton.


Mchezaji huyo ambaye amekuwa na msimu mzuri zaidi katika timu yake hiyo, ameonekana kuvuta hisia za klabu hizo na sasa kila moja imekuwa kwenye mbio za kuwania saini yake.

No comments