LIVERPOOL YATUMA MASKAUTI WAKE ITALIA KUMFUATILIA BEKI WA KATI WA ROMA

MASKAUTI wa Liverpool wako Italia kufatilia uwezekano wa kumsajili beki wa kati Roma, Kostas Manolas.


Liver wameshaandaa kiasi cha Pauni Milioni 35 kuhakikisha wanainasa huduma ya mlinzi huyo raia wa Ugiriki.

No comments