IMERIPOTIWA kuwa straika Lucas Perez wa Arsenal anajipanga kufungasha virago vyake ili kujiunga na Sevilla ya Ligi Kuu Hispania “La Liga”.


Perez aliigharimu Arsenal kitita cha pauni mil 17 akitokea Deportivo La Coruna lakini mpaka sasa ameshindwa kuthibitisha thamani yake kikosini.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac