Habari

MAHUSIANO DUNI NA KOCHA PEP GUARDIOLA YAMPELEKA YAYA TOURE MANCHESTER UNITED

on

NAHODHA wa
zamani wa Ivory Coast na mchezaji bora wa mwaka barani Afrika mara tatu, Yaya
Toure anatarajiwa kutua Manchester United.

Toure mwenye
miaka 33, ataondoka kiangazi cha mwaka huu baada ya kutokuwa na mahusiano
mazuri na kocha wa Manchester City, Pep Guardiola na ameshadokezwa kuwa ana
nafasi Old Trafford.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *