MAMADOU SAKHO AAMUA KUFANYA MAAMUZI MAZITO YA KUBAKI JUMLA CRYSTAL PALACE

MLINZI wa Liverpool, Mamadou Sakho kubaki jumla Crystal Palace baada ya muda wake wa kucheza kwa mkopo kumalizika.


Nyota huyo kutoka Ufaransa mwenye miaka 27, alisugua benchi kwa miezi 11 na sasa anadhani ni muda wa kufanya maamuzi mazito ya kuihama Liverpool.

No comments