MAN UNITED YAJIANDAA KUUNUNUA MKATABA WA ROONEY ULIOSALIA ILI ASEPE AKIWA HURU

IMEBAINIKA kuwa klabu ya Manchester United inajiandaa kuununua mkataba wa muda uliobaki wa nahodha na mshambuliaji wao, Wayne Rooney.


Mshambuliaji huyo mwenye miaka 31, amepoteza makali yake na United inaona katika kumtunzia heshima ni kuvunja mkataba na kumuacha aondoke akiwa mchezaji huru.

No comments