MANCHESTER CITY WAMMEZEA MATE “THIERRY HENRY” WA MONACO

MANCHESTER City wanamtaka straika wa Monaco anayefananishwa na mkongwe Thierry Henry, Kylian Mbappe na wametenga pauni mil 50 kumvuta Etihad.


Mbappe amekuwa moto wa kuoteambali Ligi Kuu ya Ufaransa na hilo limesababisha kocha Arsene Wenger kumfananisha na Henrry.

No comments