Habari

MANCHESTER UNITED WAANZA KUTETA NA FABINHO ILI KUMVUTA OLD TRAFFORD

on

TAARIFA
zilizopo ni kwamba tayari viongozi wa Manchester United wameshaanza mazungumzo
na staa wa timu ya taifa ya Brazil, Fabinho.

Mbali na
ulinzi, Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 23, amekuwa akifanya vizuri
anapocheza kwenye eneo la kiungo na anatajwa kuwa na thamani ya pauni mil 35.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *