Habari

MANCHESTER UNITED YAMBEMBELEZA MARCOS ROJO ABAKI OLD TRAFFORD

on

KLABU ya
Manchester United imemsihi mchezaji wake Marcos Rojo mwenye miaka 27 kuendelea
kubaki na tayari wamemwandalia mkataba wa mwaka mmoja zaidi baada ya huu wa
sasa unaomalizika mwaka 2019.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *