MARQUINHOS ATHIBITISHA KUWA KWENYE MISHEMISHE ZA KUONGEZA MKATABA MWINGINE PSG

BEKI wa PSG, Marquinhos amethibitisha kuwa yuko kwenye harakati za kuongeza mkataba wa kuendelea kubaki na mabingwa hao wa League 1.


Mkataba wa sasa wa Mbrazil huyo utafikia tamati 2019 na haonekani kuwa na mpango wa kuondoka klabuni hapo.

No comments