MBWANA SAMATTA ATOA ZAWADI YA SODA KWA WQACHEZAJI WENZIE TAIFA STARS

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amewapongeza wachezaji wenzake kwa ushindi walioupata wa magoli 2-1 dhidi ya Burundi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa kwenye uwanja wa taifa Jumanne, Machi 28, 2017.


Samatta ambaye hakuwepo kwenye mechi hiyo, alitweet kwenye akaunti yake ya twitter(2@samatta77) kuwapongeza wachezaji wenzake kwa kupata ushindi na akawatania kwamba zawadi yao wanywe soda yeye hatalipa.

No comments