MCHEZAJI WA SOUTHAMPTON ATAKA KOCHA WAKE KUMUHESHIMU ILI ASIIHAME KLABU HIYO MWISHONI MWA MSIMU

MCHEZAJI Dusan Tadic amemwambia kocha wake Claude Puel, kuwa asipomuheshimu ataihama Southammpon mwishoni mwa msimu huu.


Staa huyo kutoka Serbia, amekasilishwa na kitendo cha kuanzia benchi katika mechi tano mfululizo za timu hiyo zilizopigwa hivi karibuni.

No comments