MICHAEL CARRICK KUSTAAFU SOKA ASIPOPEWA MKATABA MPYA MANCHESTER UNITED


Michael Carrick amesema atatundika daluga kama hatapewa mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Manchester United  aliyoichezea kwa miaka 11.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka  35 amefichua kuwa bado hajamkabili kocha  Jose Mourinho ili kujua mustakabal wa mkataba wake.


No comments