MIRANDA WA NOLLYWOOD ASEMA ANAJIONA AMEONGEZEKA UZURI BAADA YA KUPATA MTOTO

MWIGIZAJI Adaora Ukoh maarufu kama “Miranda” ameanza nyodo baada ya kupata mtoto wake wa kwanza.

Miranda amesema anajiona uzuri wake umeongezeka baada ya kujifungua mtoto wake huyo aliyempa jina la Jermaine Ehize AbuMere.


“Kwa sasa ninajiona kama uzuri wangu umeongezeka maradufu baada ya kujifungua mwanangu Jermaine Ehize AbuMere,” amesema.

No comments