MKE WA MICHAEL ESSIEN ANUNUA TIMU YA SOKA ITALIA


Akosua Puni ambaye mke wa kiungo wa zamani wa Chelsea Michael Essien, amenunua timu ya soka ya Como inayocheza ligi daraja la tatu Italia.

Mke huyo wa Essien amelipa pauni 206,000 ili kuinunua klabu hiyo iliyofilisika na hakuwa na ushindani wowote.

No comments