MOURINHO AKANUSHA MANCHESTER UNITED KUMWANDALIA NEYMAR DAU LA PAUNI MIL 173

MENEJA Jose Mourinho ameutolea nje uvumi wa kwamba Manchester United wamejipanga kutoa pauni mil 173 kwa ajili ya mchezaji wa Barcelona na Brazil, Neymar, 25, katika dirisha la uhamisho wa kiangazi.

No comments