Habari

MOURINHO AMCHINJIA BAHARINI ROONEY EUROPA LEAGUE

on

Wayne Rooney hajajumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United kilichosafiri kwenda Urusi kwa mchezo wa UEFA Europa League dhidi ya Rostov.
Nahodha huyo wa Manchester United  si miongoni mwa wachezaji 20 waliochaguliwa na kocha Jose Mourinho kwaajili ya mchezo huo muhimu.
Hata hivyo Rooney anaweza kupata nafasi ya kuanza katika mchezo wa robo fainali ya FA Cup Jumatatu usiku kufuatia kufungiwa kwa  Zlatan Ibrahimovic ambaye atakosa michezo mitatu ya michuano ya ndani ya England.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *