MOURINHO AMTAKA KEVIN GAMEIRO KWA AJILI YA KUIIMARISHA MAN UNITED

STRAIKA wa Atletico Madrid ya Hispania, Kevin Gameiro ameingia katika rada za kocha wa Manchester United, Jose Mourinho kwa ajili ya majira ya kiangazi na kwa dhamira ya kuendelea kukiweka katika ubora kikosi chake.

Gameiro mwenye umri wa miaka 29, mzaliwa wa Ufaransa yuko katika kiwango cha juu tangu kuanza kwa msimu huu, hali hiyo ndio imewafanya Manchester United waingie katika mazungumzo ambayo yanasimamiwa na kocha Mourinho.

No comments