MWIGIZAJI CHIPUKIZI NOLLYWOOD AMCHANGANYA TONTO KWA UREMBO WAKE

MWIGIZAJI Tonto Dikeh amepagawishwa na uzuri wa mwigizaji chipukizi kutoka nchini Ghana, Juliet Ibrahim aliyejitosa Nollywood.

Tonto amekiri kuwa uzuri wa Juliet utawatatiza sana waigizaji wa kiume ndani ya Nollywood na akakiri kuwa uzuri wa mrembo huyo utaleta ushindani kwa wasanii wakongwe kwenye medani ya filamu.

No comments