MWIGIZAJI MOYO LAWAL ASEMA FAMILIA YAKE INAMLAZIMISHA KUOLEWA

MWIGIZAJI anayeling’arisha eneo la Yoruba, Moyo Lawal amefunguka na kusema kuwa familia yake inamlazimisha kuolewa.

Moyo msichana mwenye mvuto wa aina yake, alisema alipenda aolewe akiwa amezaa mtoto mmoja lakini sasa inashindikana kutokana na shinikizo.

Alisema, yeye ambaye kwa sasa anaishi na baba yake baada ya mama yake kufariki, anatakiwa aolewe katika kile kinachosemwa kuepuka kuiaibisha familia.


No comments