NEW AUDIO: KITU KIPYA CHA BLACK KOPA “NADEKEZWA REMIX”
Prince Black Kopa mtoto wa Bi Khadija Kopa anaendelea kudondosha kazi maridadi kwenye ulimwengu wa taarab.

Safari hii ameurudia wimbo wa kaka yake marehemu Omar Kopa “Nadekezwa” uliotesa sana zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Prince Kopa anakuambia “Nadekezwa Remix” …Pata uhondo hapo juu.

No comments