NEW AUDIO: PATA MDUARA “SHIKA ADABU YAKO” KUTOKA KWA PROFESSOR MK & WENYEWE BAND
Tumia dakika zako zisizozidi tano kuusikiliza mduara mpya kutoka mwimbaji Professor MK wa Zanzibar.


Katika wimbo huu Professor MK ameshirikiana na Wenyewe Band chini ya ukurugenzi wake Ally Fadhil ambaye pia ndiye producer wa wimbo huu.

No comments