OFA YA MKATABA WA UBALOZI YANUKIA KWA WAYNE ROONEY OLD TRAFFORD

KLABU ya Manchester United itampa ofa ya mkataba mwingine Wayne Rooney mwenye umri wa miaka 31, wa kuwa balozi wa timu hiyo atakapomaliza muda wake wa kuchezea hapo.


Wachezaji Bryan Robson, Nemanja Vidic, Dwight Yorke na Andy Cole ni miongoni mwa wachezaji ambao wana nafasi kama hiyo baada ya kumaliza muda wao wa kuichezea klabu hiyo.

No comments