PAUNI MIL 70 ZA CHELSEA ZIKO NJE NJE JUU YA ROMELU LUKAKU, LAKINI…

CHELSEA wapo tayari kutumia hadi pauni mil 70 juu ya mshambuliaji makini majira haya ya joto, lakini mjadala ni juu ya kama kumsaini nyota wa Everton na Ubelgiji, Romelu Lukaku, 23, au mshambuliaji wa Real Madrid na Hispania, 24, Alvaro Morata.

No comments