PICHA 13 ZA JAHAZI MODERN TAARAB WALIVYOFUNIKA BAGAMOYO JUMAMOSI USIKU


Jahazi Modern Taarab Jumamosi usiku walikuwa ndani ya ukumbi wa Kaole Snake Park uliopo Kaole Bagamoyo ambapo show tamu na ya aina yake ikaangushwa.

Waimbaji kama Prince Amigo, Mariam BSS, Mishi Zere, Fatma Kassim na Mwasiti Kitoronto walikuwa kinogesho kizuri cha onyesho hilo bab kubwa.

Pata picha 13 za onyesho hilo la Jahazi ndani ya Bagamoyo.
 Ally Jay mzee wa harakati za mtu mweusi
 Amigo akiwachezesha mashabiki wa Jahazi
 Emeraa kwenye solo gitaa
Hadija Mbegu
 Mariam BSS mmoja wa waimbaji waliofunika sana Bagamoyo jana usiku
 Mazoea kwenye kinanda
 Mishi Zere
Mwasiti Kitoronto
 Mashabiki wa Jahazi wakicheza kwa staili ya mduara
Amigo akiimba Tiba ya Mapenzi
Shomar Zizzou kwenye bass gitaa
Fatma KassimNo comments