Habari

PICHA 15: MSOINDO NGOMA ILIVYOENDELEA KUTESA KISUMA INN MBAGALA SABASABA

on

MSONDO Ngoma
Music Band wameendelea kutesa na shoo yao ya kila Jumamosi pale Kisuma Inn,
Mbagala Sabasaba ambapo usiku wa jana kuamkia leo walionekana kuupasua zaidi
ukumbi huo kwa kupiga shoo ya kibabe iliyohudhuriwa na lundo la mashabiki.

PICHA 15 CHINI ZA NAMNA MAMBO YALIVYOKWENDA:

 Mwimbaji Athuman Kambi akiburudisha mashabiki
 Hapa Athuman Kambi(kushoto), akiimba sambamba na Hassan Moshi “Tx Junior”
 Shaaban Dede Seper Motisha akiimba kwa hisia kali
 Mkongwe Said Mabera “Dokta” akichambua nyuzi za gitaa la Solo kwa ufundi
 Jenelari Pishuu akicharaza gitaa la Rythym kwa utulivu
 Hapa gitaa la besi likikung’utwa kwa mbwembwe
 Super Dongo akiwa kazini
 Huruka Uvuruge akiwa amekamata gitaa la Rythm
 Romarii akirapu kwa bashasha
 Hapa Romarii akipuliza tarumbeta
 Baadhi ya waimbaji wa Msondo Ngoma wakifanya yao, kutoka kushoto ni Athuman Kambi, Tx Mosh na Juma Katundu
 Tx Mosh akilialia na kipaza sauti
 Mwimbaji Twaha Malovee akiwajibika
Mkaanga Chips, James Mawila akishughulika kwa furaha tele

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *