PICHA ZA "MAHABA NIUE" ZA MWANAMITINDO JESY NELSON NA CHRIS CLARK ZAMWAGIKA MITANDAONI

MWANAMITINDO na mwigizaji Jesy Nelson amekumbwa na hamaniko baada ya picha zinazomuonyesha akijirusha na Chris Clark kusambaa.

Picha hizo zimeonekana kwenye mtandao wa Instagram zikimuonyesha msanii huyo akiwa kwenye mahaba mazito wakipigana mabusu na kupapasana bila woga.

Kutokana na kusambaa kwa picha hizo Jesy Nelson aliingia haraka kwenye mtandao wake wa kijamii na kujitetea kwa kusema kuwa Chris Clark ni mpenzi wake ingawa ilikua bado anafanya siri.

“Ni kweli sikupata kuliweka wazi suala hili napenda kukiri kuwa Chris Clark ni mpenzi wangu,”Jesy Nelson aaaaaaliandika katika mtandao wake wa
Instagram.


Kiongozi wa bendi ya akina Jesy,Perrie Edwards alifunguka na kusema kwa mara ya kwanza wasanii wenzake JadeThirlwall na Leigh-Anne Pinnock,walienda matenbezi ya usiku bila kuandamana na Jessy Nelson, ambaye alikua akila raha na mpenzi wake Chris Crark.

No comments