PSG WAANZA KUANDAA MITEGO YA KUMNASA ALEXIS SANCHEZ

MATAJIRI wa jiji la Paris, klabu ya Paris Saint-Germain wameanza kutega ndoana zao ili kumnasa mshambuliaji mahiri wa Chile na Arsenal, Alexis Sanchez.


Mshambuliaji huyo mwenye miaka 28, anajiandaa kuondoka Arsenal baada ya kumalizika msimu huu kutokana na kutokubaliana maslahi ya mkataba mpya na klabu hiyo na kocha Arsene Wenger amemwambia anaweza kuondoka.  

No comments