MSHAMBULIAJI chipukizi wa England, Raheem Sterling amesikia anavyobezwa na akaapa kwamba atabaki na kupigania namba Manchester City.

Kinda huyo aliyetua Manchester City akitokea Liver mwaka 2015 kwa pauni mil 49, alionyesha kiwango duni kabla ya kuzinduka hivi karibuni baada ya kuonywa na kocha wake, Pep Guardiola.


“Watu wamenishutumu sana, nataka niseme sina mpango wa kuondoka Manchester City bali nitabaki,” alisema.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac