REAL MADRID NAYO YARUDIA DOZI ILE ILE KWA NAPOLI 3-1 NYUMBANI NA UGENINI


Wakati Bayern Munich ikirudia dozi ya 5-1 kwa Arsenal, Real Madrid nayo imerudia dozi ya 3-1 kwa Nopoli na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya bao 6-2.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Hispania, Real Madrid ilishinda 3-1 na Jumanne usiku ikafanya tena hivyo huko Italia kwa mabao ya Sergio Ramos dakika ya 51 kabla Dries Mertens hajajifunga dakika saba baadae huku
Alvaro Morata akifunga la tatu katika dakika ya 90.

Kwenye mchezo huo wa Champions League, Napoli ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 24 kupitia kwa Dries Mertens.

No comments