REAL MADRID YAAMUA KUMUUZA KIPA WAKE ILI KUMPATA THIBAUT COURTOIS AU DE GEA

KLABU ya Real Madrid imeamua kumuuza kwa mkopo kipa wake, Keylor Navas kwenda Lazio ya Italia ili kutoa nafasi ya kusajiliwa kwa mmoja wa makipa bora wa Ulaya kwa sasa, Thibaut Courtois anayetaka kuondoka Chelsea au David de Gea kutoka Manchester United.

No comments