Habari

REAL MADRID YAANZA MISHE ZA KUMSAJILI KIPA HUGO LLORIS WA TOTTENHAM

on

HATIMAYE
klabu ya Real Madrid imeamua kuanza harakati za kumsajili kipa wa Tottenham,
Hugo Lloris.

Kipa huyo
mwenye miaka 30, amekuwa ni sehemu ya mafanikio ya Tottenham katika misimu
mitano  sasa na Real wanadhani anaweza
kuwa msaada zaidi kwao iwapo watamkosa David de Gea.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *