REAL MADRID YAIWINDA SAINI YA EDEN HAZARD KWA DAU LA PAUNI MIL 89

KLABU ya Real Madrid imeweka mezani dau la pauni mil 89 ili kuinasa saini ya winga wa Chelsea, Eden Hazard mwishoni wa majira ya kiangazi.

Ikiwa watafanikiwa kunasa saini ya Hazard, Real Madrid itakuwa imefikia rekodi iliyowekwa na Manchester United ambayo ilitoa dau hilo kwaajili yakupata huduma ya Paul Pogba aliyewika Jiventus.

No comments