REAL MADRID YAMTENGEA DAVID DE GEA PAUNI MIL 40 ILI KUMNG'OA MAN UNITED MAJIRA YA KIANGAZI

REAL Madrid wamepania kuhakikisha wanamchua mlinda mlango ambaye wamekuwa wakimsaka kwa kipindi kirefu, Devid De Gea.


Imeelezwa kuwa Madrid wameweka pembeni zaidi ya pauni Milioni 40 kufanikisha dili hilo wakati wa majira ya kiangazi.

No comments