ROMELU LUKAKU ATAMANI KULAMBA "MATAPISHI" YAKE KWA KUTAKA KUREJEA CHELSEA

SASA imedaiwa kwamba mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku anataka kurejea katika klabu yake ya zamani ya Chelsea baada ya kukataa mkataba wenye faida kubwa kwake katika historia ya klabu hiyo.


Klabu hiyo ya Ligi ya Uingereza ilikuwa na matumaini makubwa kwamba mchezaji huyo wa Ubelgiji ataongeza mkataba wa miaka mitano ambao ungemfanya kukunja kiasi cha pauni 140,000 kwa wiki lakini amekataa.

No comments