SANCHEZ ASEMA ALITAKA KUCHEZA KWENYE TIMU AMBAYO INA "MAWAZO" YA KUSHINDA

MSHAMBULIAJI wa Arsenal na Chile, Alexis Sanchez, 25, amesema ana furaha jijini London lakini ameongeza kuwa yeye alitaka kucheza kwenye timu ambayo ina mawazo ya kushinda.

No comments