SIASA ZA WEMA SEPETU ZAWAGAWA MASHABIKI WA FILAMU BONGO

MAAMUZI yaliyofanywa na msanii nyota wa filamu nchini, Wema Sepetu ya kuhama chama kutoka CCM kwenda CHADEMA, yamezidi kuwagawa wasanii wa filamu na mashabiki wake nchini.

Kumejitokeza makundi mawili, moja likimuunga mkono kwa uamuzi hu, huku linguine likimponda kwa kusema alipaswa kuwa na subira, ambapo vijembe baina yao vimetawala katika mitandao ya kijamii.


Makundi hayo yamekuwa yakijibizana na kupigana vijembe kupitia mitandao yao ya kijamii, jambo ambalo limeelezwa kuwa busara isipotumika, wanaweza kufikia pabaya.

No comments