Huu ni wimbo mpya kabisa wa Ogopa Kopa ukiimbwa na mwanadada Mwamvita Shaibu na hii inakuwa ndiyo kete yake ya kwanza kwenye kundi hili linaloongozwa na malkia wa mipasho Bi Khadija Kopa.

Wimbo umepewa jina la “Simpi Kiki Kunguni wa Mwendokasi” usikilize hapo juu.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac