THIERRY HENRY ACHOMOA KUNG’WENG’WENYA FUPA LILILOMSHINDA ARSENE WENGER EMIRATES

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry amekataa kujitoa binafsi katika mbio za kuchukua nafasi ya Arsene Wenger kama meneja wa washika bunduki hao.

No comments