TONI KROOS ASEMA ANATAMANIO KUITUMIKIA MAN UNITED SIKU ZIJAZO

KIUNGO fundi wa Kijerumani, Toni Kroos mwenye miaka 27 ni kama vile anajipeleka bure Manchester United katika usajili ujao akisema ndio timu anayotamani kuitumikia siku zijazo.


Kroos amesema iwapo timu ya Real Madrid itashindwa kutwaa taji lolote msimu huu, hatakuwa na chaguo linguine isipokuwa kuihama timu hiyo yenye maskani yake Santiago Bernabeu na kutua Old Trafford.

No comments