TORINO YANOGEWA NA JOE HART... yataka kumng'oa jumla Etihad

TIMU ya Torino ya Italia imeichenjia Manchester City ikitaka kumsajili jumla kipa waliyemsajili kwa mkopo kutoka kwa matajiri hao, Joe Hart ambaye mkataba wake unamalizika msimu huu.


Hart mwenye miaka 29, naye amenogewa na soka la Italia na anasema hataki kurudi tena Etihad kwa kuwa kocha Pep Guardiola hamuamini.

No comments