VIDEO: “PRISON LOVE” YASABABISHA KHALID CHOKORAA KUUNDA KAMATI YA WATU 10 …sasa asema: “Yananitesa” ndani ya Twanga


Mwimbaji na rapa tegemeo wa Twanga Pepeta Khalid Chokoraa, ameonyesha usongo wa kutaka kuhakikisha kuwa wimbo wake mpya na wa kwanza tangu arejee Twanga, unakuwa moto wa kuotea mbali.

Chokoraa ameunda kamati ya watu 10. Ili ujue majukumu ya kamati hiyo, tazama video hapo hapa chini ambapo msanii huyo anafunguka kila kitu.

No comments