WACHINA WAMPANDIA DIEGO COSTA DAU LA PAUNI MIL 90 ILI KUMNG'OA CHELSEA

KLABU ya Ligi Kuu China, Tianjin Quanjian imesema kwamba imetoa ofa ya pauni mil 90 kwa ajili ya kumsajili nyota wa Chelsea mwenye umri wa miaka 28, Diego Costa.

Kwa mujibu wa Daily Express, klabu hiyo imesema kwamba inataka kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania wakati wa dirisha kubwa la usajili wa majira ya joto mwaka huu.

No comments