WENGER KULAMBA MIAKA MIWILI ARSENAL HUKU AKIHITAJI MABADILIKO KIBAO

ARSENE Wenger atasaini mkataba mpya wa kubakia kama meneja wa Arsenal na anahitaji mabadiliko ya “mambo mengi” kuipeleka klabu mbele, kwa mujibu wa kiungo wa zamani wa washika bunduki hao, Robert Pires.

No comments