WENGER AWAPA "RUSHWA" MASHABIKI WA ARSENAL ILI AENDELEE KUBAKI

AKIWA amenuka vibaya ndani ya Arsenal, kocha Arsene Wenger ameanza kuwahadaa mashabiki wa klabu hiyo kwa kuahidi kusajili majembe yatakayoleta taji.


Mashabiki wa timu hiyo yenye maskani yake Emirates Stadium wanamtaka Wenger aondoke lakini yeye amesema atawasajili washambuliaji Kylian Mbappe na Alexandre Lacazette, anaoamini watampa mataji, hata kama Alexis Sanchez na Masut Ozil, wataondoka.

No comments