WEST HAM YATIA MAGUU JUVENTUS IKITAKA KUMCHOMOA MSHAMBULIAJI MARIO MANDZUKIC

KLABU ya West Ham United imepiga hodi Italia ikitaka kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Mario Mandizukic raia wa Croatia.


Hata hivyo, West Ham watalazimika kujipanga kisawasawa kwani imefahamika kuwa Besiktas ya Uturuki nayo inataka saini ya mshambuliaji huyo mwenye miaka 30.

No comments