WIMBO MPYA: J4 SUKARI ANA-CELEBRATE NA KHADIJA KOPA

Mwimbaji wa TOT Band J4 Sukari ambaye pia aliwahi kung’ara na Twanga Pepeta, ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “Celebrate”.

Katika wimbo huo ambao ni kazi yake binafsi nje ya bendi anayoitumikia, J4 ameshirikisha malkia wa Mipasho Bi Khadija Kopa. Isikilize hapo juu.

No comments